ENNA SIMION
CCM NI TUMAINI LA WATANZANIA IPATE KURA ZA NDIO- MHE KAPINGA
*Asema CCM ni tumaini la Watanzania; Ipate kura za Ndiyo
*Akumbusha kuwa miradi ya maendeleo iliyopo ni kielelezo cha viongozi makini wa CCM
Mbunge wa...
DKT. TULIA AWATAKA WANANCHI KUCHAGUA VIONGOZI WENYE UWEZO
http://DKT. TULIA AWATAKA WANANCHI KUCHAGUA VIONGOZI WENYE UWEZO
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Spika...
GEITA MSINIANGUSHE, MSIIANGUSHE CCM – DKT. BITEKO
*Awahimiza Wananchi Kupiga Kura Kesho, Kuchagua CCM*
* Awapongeza kwa Kampeni za Zakistaarabu*
* Ataka Siasa Ziwe Daraja la Kuunganisha na Kushindanisha Mawazo*
Mjumbe wa Kamati...
HONGERENI WANARIADHA WA TANZANIA KWA KUSHINDA MEDALI ZA DHAHABU
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo inawapongeza wanariadha wetu Kpt. Magdalena Shauri na Sgt. Alphonce Simbu kwa kushinda mbio za Mashindano ya Majeshi...
TUMEWALETEA MAJEMBE, MSIFANYE MAKOSA-MAJALIWA
*_Asema CCM ni Chama Imara_
WAZIRI MKUU na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Kassim Majaliwa amewataka...
DKT.NCHIMBI AWASILI VIWANJA VYA MNYAMANI ,TEMEKE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, leo tarehe 26 Novemba 2024, akiwasili katika Viwanja vya Kwamnyani, Mbagala wilayani...