ENNA SIMION
SERIKALI IKO TAYARI KUSHIRIKIANA NA WADAU MAPAMBANO DHIDI YA MARBURG- DKT...
Na WAF, Kagera
Mganga mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ameshukuru kwa utayari ambao wameuonesha Wadau Sekta ya Afya katika kupambana na mlipuko wa...
TIMU YA MATI SUPER BRANDS LTD YACHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA...
Na Ferdinand Shayo, Manyara.
Timu ya mpira wa miguu ya Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited mkoani Manyara imecheza...
WASIRA: UAMUZI WA MKUTANO MKUU UMEZINGATIA KATIBA YA CCM
- Awapa darasa wanaodai sababu ya CCM kupitisha wagombea Urais
- Asema yupo tayari kuwapa somo waifahamu vyema katiba ya Chama
MAKAMU Mwenyekiti wa...
RAIS WA BENKI YA DUNIA AWASILI NCHINI
Rais wa Benki ya Dunia (WBG), Bw. Ajay Banga amewasili nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati...
RAIS WA SIERRA LIONE AWASILI NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Sierra Leone, Mheshimiwa Julius Maada Bio, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu...
RAIS WA BENKI YA AFDB AWASILI NCHINI KUSHIRIKI MKUTANO WA NISHATI.
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, amewasili nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...