ENNA SIMION
MAJIKO YA GESI 19,530 KUSAMBAZWA KWA BEI YA RUZUKU MKOANI KILIMANJARO
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Kiseo Nzowa (katikati) akisisitiza jambo wakati wa utambulisho wa mradi wa kusambaza majiko ya gesi yanayotolewa kwa ruzuku...
WAZIRI MKUU KUFUNGUA KONGAMANO LA 14 LA WAHANDISI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 06, 2024 anafungua Kongamano la Kimataifa la 14 la Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET).
Kongamano hilo linalifanyika katika...
DKT. NCHEMBA: MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI KUWA JUMUISHI NA DIRA...
Na Sophia Kingimali.
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mpango wa kunusuru kaya maskini wa awamu ya tatu utakuwa mpango jumuishi na utaendana na...
MALECELA APONGEZA UIMARA WA CCM NA SERIKALI ZAKE KUTUMIKIA WATANZANIA
_Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM_
Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam
Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John...
WAZIRI CHANA AKUTANA NA MKURUGENZI CHRISTOPH KUTOKA UJERUMANI
Na Happiness Shayo - Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe...