ENNA SIMION
MAJALIWA: TANZANIA IKO TAYARI KUSHIRIKIANA NA CUBA KUJENGA KIWANDA KIKUBWA CHA...
Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania iko tayari kushirikiana na Serikali ya Cuba kujenga kiwanda kikubwa cha kuzalisha chanjo mbalimbali ikiwemo chanjo...
MHE.DKT PHILIP MPANGO AWAHIMIZA VIONGOZI KUSIMAMIA MIRADI NA MAPATO KWA UADILIFU
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Makamu wa Rais wa Jamhuri...
WAKULIMA WA TUMBAKU WAPEWA MBINU KUONGEZA UZALISHAJI.
Na Lucas Raphael, Tabora.
Wakulima wa zao la tumbaku Mkoani Tabora wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya mbolea wakati wa msimu mpya wa kilimo ili kuongeza...
NAIBU WAZIRI UMMY, APOKEA JEDWALI LA UCHAMBUZI LA SHERIA NDOGO
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo Mhe. Ramadhan Suleiman Ramadahan akiongoza kikao cha Kamati Ndogo ya Bunge ya Sheria Ndogo katika...
WAZIRI MKUU KASIMU MAJALIWA AKIFANYA ZIARA MAALUM KUBORESHA MAHUSIANO KATI YA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rodi Manuel Valdes ambaye ni rais wa Kiwanda na Kituo cha Utafiti kinachotengeneza Viatilifu na Viuadudu cha Labiofam...
TANZANIA KUSHIRIKIANA NA CUBA UTAFITI WA MIMEA TIBA-MAJALIWA
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema ni muhimu kwa Tanzania na Cuba kuimarisha uhusiano katika eneo la utafiti na matumizi ya mimea tiba kwa ajili...