Home LOCAL DKT. TAX AMWAKILISHA RAIS SAMIA UAPISHO WAZIRI MKUU LESOTHO

DKT. TAX AMWAKILISHA RAIS SAMIA UAPISHO WAZIRI MKUU LESOTHO

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax amewalisili Maseru, Lesotho kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho wa Waziri Mkuu Mteule wa Falme ya Lesotho, Mhe. Ntsokoane Samuel Matekane.

Uapisho huo umefanyika leo tarehe 28 Oktoba 2022 katika uwanja wa Setsoto Maseru. Mara baada ya kuwasili Lesotho, Dkt. Tax alipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi