Home LOCAL DKT. TAX AMWAKILISHA RAIS SAMIA UAPISHO WAZIRI MKUU LESOTHO

DKT. TAX AMWAKILISHA RAIS SAMIA UAPISHO WAZIRI MKUU LESOTHO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax amewalisili Maseru, Lesotho kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho wa Waziri Mkuu Mteule wa Falme ya Lesotho, Mhe. Ntsokoane Samuel Matekane.

Uapisho huo umefanyika leo tarehe 28 Oktoba 2022 katika uwanja wa Setsoto Maseru. Mara baada ya kuwasili Lesotho, Dkt. Tax alipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi

Previous articleMWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA 
Next articleDKT. KIJAJI AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI YA STAKABADHI ZA GHALA (WRRB) JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here