Home LOCAL ASHIRIKI SIKU YA PILI YA MKUTANO WA UBUNIFU WA AFYA DUNIANI DOHA...

ASHIRIKI SIKU YA PILI YA MKUTANO WA UBUNIFU WA AFYA DUNIANI DOHA NCHINI QATAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa mmoja wa wachangiaji Wakuu wa mada mbalimbali katika siku ya pili ya Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani (World Innovation Summit for Health) unaofanyika Doha nchini Qatar tarehe 05 Oktoba, 2022.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea Hospitali ya Sidra ambayo inatoa huduma za matibabu ya kibingwa kwa Mama na Mtoto na kujionea utendaji kazi wa Kituo cha utafiti wa Kisayansi kuhusu masuala mbalimbali ya Kiafya, Doha nchini Qatar tarehe 05 Oktoba, 2022.

Previous articleTMDA KANDA YA ZIWA MAGHARIBI YAKAMATA DAWA ZA KUSISIMUA MISURI NA KUONGEZA KUVU ZA KIUME
Next articleRAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TAASISI MBALIMBALI ZA DOHA NCHINI QATAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here