Home BUSINESS ZIARA YA MKUU WA MKOA WA GEITA KATIKA BANDA LA TUME YA...

ZIARA YA MKUU WA MKOA WA GEITA KATIKA BANDA LA TUME YA MADINI NA TGC KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela leo Oktoba 02, 2022 ametembelea banda la Tume ya Madini na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) katika Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea katika viwanja vya Bombambili mjini Geita .

Mara baada ya kupata elimu kuhusu huduma zinazotolewa na Tume ya Madini, TGC na kuona sampuli mbalimbali za madini amepongeza kazi nzuri inayofanywa na Taasisi hizo na kutaka elimu kuendelea kutolewa hususan kuhusu namna biashara inavyofanyika kwenye masoko na vituo vya ununuzi wa madini vilivyoanzishwa nchini.
 

Previous articleSTAMICO YAWAPONGEZA WACHIMBAJI WADOGO KWA KUONGEZA KWA JITIHADA ZAO ZA KUKUZA SEKTA YA MADINI
Next articleSHAKA ASHIRIKI KUCHAGUA VIONGOZI WA CCM WILAYA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here