Home BUSINESS MGODI WA BUCKREEF KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA -2022

MGODI WA BUCKREEF KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA -2022

Afisa Usalama wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu Buckreef Charles Kafuku (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo kwa mgeni aliyetembelea Banda la Kampuni hiyo Bw. Roy Mwinga (wa pili kulia) aliyemuwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara wa Zambia katika Maonesho ya Madini yanayofanyika Mkoani Geita.

(PICHA ZOTE NA: HUGHES DUGILO) GEITA

Mwakilishi wa Waziri wa Viwanda na Biashara wa Zambia katika Maonesho ya Madini yanayofanyika Mkoani Geita Bw. Roy Mwinga (wa tatu kulia) akitia saini katika kitabu cha wageni katika Banda la Buckreef katika maonesho hayo.

Mjiolojia wa Kampuni ya Buckreef Francis Kiyumbi (wa pili kushoto) akionesha sampuli za aina ya miamba inayopatikana kwenye Mgodi wa Buckreef.

Watumishi wa Mgodi wa Buckreef wakiwa katika picha ya pamoja katika Banda lao katika Maonesho ya Teknolojia katika Sekta ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya Bombambili Mkoani Geita. (kutoka kushoto) ni, Afisa Usalama wa Mgodi huo Charles Kafuku, Afisa Rasirimali watu wa Buckreef, Domitilla Mang’ondi, (anayefuata), Mjiolojia Francis Kiyumbi, na Mtaalamu wa masuala ya umeme Mgodini Nahom Mramba.

Muonekano wa Banda la Buckreef katika Maonesho ya Madini Mkoani Geita. 

Previous articleTARI YAPELEKA TEKNOLOJIA ZA KILIMO BORA CHA MAZAO MBALIMBALI WILAYANI IRAMBA
Next articleSERIKALI YAPONGEZA MCHANGO WA TAASISI ZA DINI KATIKA KULETEA MAENDELEO  TAIFA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here