Meneja wa wakala wa Barabara Tanzania(TANROADS)Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Ephatar Mlavi kulia akikagua eneo linalotarajia kupita Barabara ya mchepuko(Songea Bypass)Changarawe Manispaa ya Songea ambayo ujenzi wake utaanza hivi karibuni,kushoto ni Mhandisi wa mipango wa TANROADS Rubara Marando wa na Mhandisi Izak Issa kutoka ofisi ya meneja wa TANROADS mkoa wa Ruvuma.
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania(TANROADS)mkoa wa Ruvuma Mhandisi Ephatar Mlavi kulia, akimsikiliza Mwenyekiti wa kamati ya Nenda kwa Usalama Barabarani wilaya ya Songea Pascal Msigwa wa kushoto na Katibu wa Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Ruvuma(Ruvuma Press Club)Andrew Chatwanga katikati, walipotembelea eneo la Msamala ambapo kutajengwa Barabara ya mzunguko(Round about)itakayounganisha Barabara kuu ya Songea-Njombe na Barabara ya mchepuko ya Songea Bypass inayotarajia kuanza ujenzi wake hivi karibuni.
Baadhi ya nyumba zinazotakiwa kuvunjwa katika mtaa wa Namanditi Manispaa ya Songea ili kupisha ujenzi wa mradi wa Barabara ya Mchepuko kutoka Namanditi hadi Changarawe inayotarajia kuanza ujenzi wake hivi karibuni.
Mkazi wa mtaa wa Namanditi Manispaa ya Songea Mariam Mwele kulia ambaye nyumba yake italazimika kuvunjwa ili kupisha ujenzi wa mradi wa Barabara ya Mchepuko(Songea ByPass) yenye urefu wa km 14.3 akizungumza na mwakilishi wa Kituo cha Itv na Radio One mkoani Ruvuma Emmanuel Msigwa ambapo ameiomba Serikali kuwalipa fidia haraka wananchi watakaovunja nyumba zao ili kupisha ujenzi wa mradi huo.
Na: Muhidin Amri, Songea
WAKALA wa Barabara Tanzania (TA
Meneja wa TANROADS mkoani Ruvu
Kwa mujibu wa Mhandisi Mlavi n
Aidha alisema,katika mradi huo
Alisema, pindi Barabara hiyo i
“Barabara hii ya mchepuko(Son
Kwa mujibu wa Mlavi, tathimini
Mhandisi Mlavi, amewataka wana
“nachukua nafasi hii kuwatoa w
Naye Mhandisi Izaki Issa kutok
Baadhi ya wananchi,wameiomba S
Mariam Mwela mkazi wa Namandit
Aidha,ameiomba Serikali kuwali
Pascal Msigwa(Top One)alisema,
Rajabu Kanganya mwendesha bodaboda, ameiomba Serikali kupit
MWISHOOOO.