Home BUSINESS MKURUGENZI WA ELIMU KWA UMMA TRA MAKAO MAKUU AKUTANA NA WAFANYA BIASHARA...

MKURUGENZI WA ELIMU KWA UMMA TRA MAKAO MAKUU AKUTANA NA WAFANYA BIASHARA WA MBINGA

RUVUMAhttp://MKURUGENZI WA ELIMU KWA UMMA TRA MAKAO MAKUU AKUTANA NA WAFANYA BIASHARA WA MBINGA

Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano Bw. Richard Kayombo kutoka TRA Makao Makuu leo tarehe 19/12/2024 amekutana na Wafanyabiashara wa Wilaya ya Mbinga katika ukumbi wa FDC na kuwashukuru kwa kulipa kodi zao kwa hiari na kwa wakati na kuuwezesha Mkoa wa Ruvuma na Taasisi kwa ujumla kuvuka malengo iliyopangiwa na serikali, sambamba na zoezi hili la kuwashukuru Wafanyabiashara pia Mkurugenzi amekata keki na kuwalisha viongozi wa wafanyabiashara na wafanyabiashara wengine . Pia amewahamasisha Wafanyabiashara wa Mkoa wa Ruvuma walipe kodi zao za awamu ya nne mapema kabla ya tarehe 31/12/2024.

Previous articleWAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU TENDWA.
Next articleKAGERA YAWEKA MKAZO KATIKA UWEKEZAJI, WANANCHI WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here