Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani, Kamishina Msaidizi Mwandamizi |
Na, Saimon Mghend, KAHAMAi l
Jeshi la polisi limefanya ukaguzi wa mabasi pamoja na kutoa Elimu kwa madereva wa mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi cha Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani, Kamishina Msaidizi Mwandamizi
Hataivyo Kamanda Mutafungwa Amesema Jishi la polisi nchini limekwisha kuwafungia leseni za udereva, Madereva wa mabasi 27 kwa makosa kadhaa ikiwemo ya mwendo kasi kwa kipindi cha miezi sita, Nakutoa Onyo kali kwa madereva wengine ambao hawatazingatia sheria za usalama barabarani.
Pia Kamanda Mutafungwa aliwataka abiria kutokukaa kimya na badala yake kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi pale ambapo wataona dereva anavunja sheria za uisalama barabarani.