Home BUSINESS NIRC KUJENGA SKIMU YA UMWAGILIAJI BONDE LA MBELEKESE

NIRC KUJENGA SKIMU YA UMWAGILIAJI BONDE LA MBELEKESE

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) ramani ya jiografia ya Bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese lililopo katika halmashauri ya wilaya ya Iramba mkoani Singida.

Aidha Mndolwa amewaelekeza wataalamu wa Tume kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya kupata sehemu ya kujenga bwawa, uchimbaji wa visima pamoja na miundombinu ya umwagiliaji ili kumwagilia bonde hilo lenye ukubwa wa hekta 43,000 kwa ajili ya kunufaisha wakazi wa kata 6 za Ulemo, Ndago, Mbelekese, Mukulu, Kaselya na Kiengege.

Previous articleMKURUGENZI WA MATI SUPER BRANDS LIMITED AJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA .
Next articleVIONGOZI WA DINI KUKEMEA MATENDO YASIYOFAA -DKT.PHILIP MPANGO 
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here