Home LOCAL RAIS SAMIA AWAHUTUBIA WANANCHI KATIKA TAMASHA LA KIZIMKAZI MWEHE KUSINI UNGUJA

RAIS SAMIA AWAHUTUBIA WANANCHI KATIKA TAMASHA LA KIZIMKAZI MWEHE KUSINI UNGUJA

Matukio mbalimbali kwenye Kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wananchi wakati wa kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.

 

Previous articleRC CHALAMILA AKUTANA  NA WATAALAM KUTOKA  TIRA
Next articleRAIS DKT. SAMIA KUFUNGUA RASMI KIKAO KAZI CHA MSAJILI WA HAZINA NA WAKUU WA TAASISI AGOSTI 28, 2024 JIJINI ARUSHA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here