Home LOCAL TAKUKURU ARUSHA YAWAFUNDA WANAHABARI MADHARA YA RUSHWA KWENYE UCHAGUZI.

TAKUKURU ARUSHA YAWAFUNDA WANAHABARI MADHARA YA RUSHWA KWENYE UCHAGUZI.

Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Janeth Haule akizungumza kwenye mafunzo ya wahabari mjini Songea kuhusu madhara ya rushwa kwenye uchaguzi,kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27 mwaka huu,mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika kwenye ukumbi wa TAKUKURU Mahenge Manispaa ya Songea

Afisa wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yahaya Mwinyi akitoa mada ya nafasi ya wanahabri katika mapambano ya rushwa kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa

Baadhi ya wanahabari mjini Songea wakiwa kwenye mafunzo ya madhara ya rushwa kwenye uchaguzi yaliyoratibiwa na TAKUKURU Ruvuma. 
Previous articleRAIS SAMIA AMESIKILIZA KILIO CHA WAKAZI WA NGORONGORO
Next articleDAWASA NA TARURA KUENDELEZA USHIRIKIANO ULINZI WA MIUNDOMBINU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here