Home LOCAL DKT.BITEKO ASHIRIKI KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ZANZIBAR

DKT.BITEKO ASHIRIKI KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ZANZIBAR

Naibu waziri mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi-Zanzibar.

 

Kabla ya kushiriki Kongamano hilo, Dkt.Biteko alitembelea Mabanda ya Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia ambao wanatoa elimu ya matumizi ya nishati hiyo na teknolojia zake.

Kaulimbiu “Upishi Salama kwa Afya ya Mpishi na kwa Maendeleo ya Jamii”

Previous articleDKT MWIGULU NCHEMBA AIPONGEZA IAA UPANUZI WA CHUO KUSOGEZA ELIMU KWA WANANCHI.
Next articleAMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI  YA ULINZI NA USALAMA AFUNGA MAZOEZI YA MEDANI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here