MOST POPULAR
MBUNGE ATIA NGUVU UJENZI WA KITUO CHA AFYA GEITA.
Na: Costantine James, Geita.Wananchi wa kijiji cha busanda kata ya Busanda katika jimbo la Busanda wilayani Geita wamemuomba mbunge wa jimbo la Busanda Tumaini...
TMDA YACHAGULIWA KUWA KITIVO CHA KIKANDA UDHIBITI WA DAWA ZA CHANJO...
Na Mwandishi Wetu, Kiigali, Rwanda.
MAMLAKA ya Dawa na vifaa Tiba Tanzania (TMDA) imechaguliwa kuwa Kitivo cha Kikanda katika udhibiti wa dawa za chanjo Barani...
WATAKIWA KUTUMIA KAMPUNI ZILIZOSAJILIWA BRELA
ARUSHA.Wataalamu wa Ununuzi na ugavi hapa nchini wametakiwa kutumia kigezo cha kuhakiki uhalali wa kampuni zinazoomba zabuni kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na...
LATEST ARTICLES
Na mwandishi wetu
UKIONA vyaelea ujue vimeundwa! Hii ndiyo methali inayoweza kuelezea hatua ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kununua eneo la Urafiki lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50 kwa lengo la kufanya uwekezaji mkubwa unaolenga kuboresha...
Na mwandishi wetu
UKIONA vyaelea ujue vimeundwa! Hii ndiyo methali inayoweza kuelezea hatua ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kununua eneo la Urafiki lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50 kwa lengo la kufanya uwekezaji mkubwa unaolenga kuboresha...
Meli kubwa ya mizigo ya MSC ADU -V yenye urefu wa mita 294.1 na uwezo wa kubeba makontena 4000 ikiwasili katika Bandari ya Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Kitengo cha Uratibu kutoka Kampuni ya DP WORLD, Bw. Emmanuel Kakuyu...
Mwezeshaji na Mtaalam Kutoka Chuo Kikuu Huria Tanzania, aliyeongoza kuandaa miswada mitatu ya uchaguzi na vyama vya siasa, 2023 katika mlengo wa Kijinsia. Dkt. Victoria Lihiru, akitoa mada juu ya uchambuzi na mapendekezo ya miswada hiyo kwa Wahariri wa...
Mwakilishi Mkazi wa UN Women Tanzania Hodan Addou (kushoto) akizungumza alipokuwa akiongoza mkutano wa wanawake kutoka katika nchi mbalimbali Barani Afrika kujadili changamoto zinazowakabili wanawake na vijana katika Biashara na kupokea maoni ya wadau hao namna ya kufanyiakzi changamoto....
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MAY 4-2025
▪️Asema ni kutokana na maendeleo yaliyopatikana kipindi cha uongozi wake.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Chama cha Mapinduzi, Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa amesema kuwa Wilaya hiyo haina deni na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Mei 03, 2025 ametembelea na kukagua vituo vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili linalokwenda sambamba na uwekaji wazi...
Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar imeandaa jukwaa la kwanza la wakuu wa taasisi za uwekezaji wa umma litakalofanyika kwa siku tatu; Mei11-13, 2025 katika hoteli ya Golden Tulip Airport iliyopo visiwani humo.
Msajili wa Hazina Zanzibar Bw. Waheed Mohammad...
* Dkt. Biteko aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Kiwanda cha Nguzo za Zege
* Awataka wananchi Tabora kutogawanyika wakati Uchaguzi Mkuu
*7 Asema maono ya Rais Samia ni viongozi kuwasaidia wananchi
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Naibu Waziri...
Ni utekelezaji wa Maagizo ya Mh. Rais Dkt. Samia
▪️Aupongeza mgodi wa Barrick North Mara kwa kutoa Leseni kwa Vijana wa Vijiji 13
▪️Benki ya Dunia (WB) na Baraza la Dhahabu Duniani (WGC) waonesha dhamira kusaidia mradi
*Tarime,Mara*
Waziri wa Madini Mhe. Anthony...