Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Muhamed Mussa( kulia) akikata utepe kuashiria kuzinduliwa kwa majengo ya Shule ya Msingi Kisiwandui Zanzibar baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa sambamba na ujenzi wa matundu ya choo uliofanywa na Kampuni ya Mafuta ya Puma katika shule hiyo ambapo Sh.milioni 130 zimetumika.Kushoto ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Puma Tanzania Fatma Mohamed Abdallah( wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Elimu , Maandalizi na Msingi Zanzibar Fatuma Mode ( wa kwanza kushoto).
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Muhamed Mussa akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa majengo yaliyofanyiwa ukarabati mkubwa pamoja na ujenzi wa matundu ya choo katika Shule ya Msingi Kisiwandui Zanzibar.