Home BUSINESS PUMA YAKARABATI MAJENGO SHULE YA MSINGI KISIWANDUI ZANZIBAR

PUMA YAKARABATI MAJENGO SHULE YA MSINGI KISIWANDUI ZANZIBAR

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Muhamed Mussa( kulia) akikata utepe kuashiria kuzinduliwa kwa majengo ya Shule ya Msingi Kisiwandui Zanzibar baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa sambamba na ujenzi wa matundu ya choo uliofanywa na Kampuni ya Mafuta ya Puma katika shule hiyo ambapo Sh.milioni 130 zimetumika.Kushoto ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Puma Tanzania Fatma Mohamed Abdallah( wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Elimu , Maandalizi na Msingi Zanzibar Fatuma Mode ( wa kwanza kushoto).

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Muhamed Mussa akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa majengo yaliyofanyiwa ukarabati mkubwa pamoja na ujenzi wa matundu ya choo katika Shule ya Msingi Kisiwandui Zanzibar.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Muhamed Mussa( kulia) akikata utepe kuashiria kuzinduliwa kwa majengo ya Shule ya Msingi Kisiwandui Zanzibar baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa sambamba na ujenzi wa matundu ya choo uliofanywa na Kampuni ya Mafuta ya Puma katika shule hiyo ambapo Sh.milioni 130 zimetumika.Kushoto ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Puma Tanzania Fatma Mohamed Abdallah( wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Elimu , Maandalizi na Msingi Zanzibar Fatuma Mode ( wa kwanza kushoto).

Previous articleWASIMAMIZI WA UCHAGUZI WAASWA KUFUATA NA KUZINGATIA SHERIA
Next articleKAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATEMBELEA MGODI WA BARRICK NORTH MARA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here