Home LOCAL RAIS SAMIA NA MWENYEJI WAKE MFALME HALALD WA (V) WA NORWAY ALIPOWASILI...

RAIS SAMIA NA MWENYEJI WAKE MFALME HALALD WA (V) WA NORWAY ALIPOWASILI JIJINI OSLO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya mapokezi yake katika Kasri la Kifalme, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfalme Harald V wa Norway pamoja na Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo kwa ajili ya ziara ya Kitaifa tarehe 13 Februari, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kukabidhiana zawadi katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme, Norway wakati wa ziara yake ya Kitaifa tarehe 13 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mfalme Harald V wa Norway wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika eneo la Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kuweka shada la maua katika Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024

Previous articleMAKAMU WA RAIS AONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO
Next articleRAIS SAMIA: TANZANIA KUWA MIONGONI YA NCHI 20 ZINAZOKUA KIUCHUMI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea RAIS SAMIA NA MWENYEJI WAKE MFALME HALALD WA (V) WA NORWAY ALIPOWASILI JIJINI OSLO