Home LOCAL MATUKIO KATIKA PICHA KATIKA ZIARA YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI...

MATUKIO KATIKA PICHA KATIKA ZIARA YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU SERA BUNGE NA URATIBU KATIKA JIMBO LAKE LA UCHAGUZI KIBWAKWE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu (Mb) Mhe. George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na walimu pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Maturi jimbo la kibwake Halmashauiri ya Mpwapwa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu (Mb) Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi wa kata ya Mangaliza katika mkutano wa hadhara alioufanya katika jimbo la Kibakwe Halmashauri ya Mpwapwa.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu (Mb) Mhe. George Simbachawene akikagua miundo mbinu ya ujenz wa madarasa katika shule ya msingi Mangaliza jimbo la Kibakwe Halmashauri ya Mpwapwa.

……………….,……..

Na Mwandishi wetu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ameagiza Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa kuisajili kwa wakala wa barabara vijijini TARURA barabara ya Kikuyu Mangaliza kuelekea Kijiji cha Kilambo.

“tujenge misingi imara katika kutekeleza miradi ya maendeleo ili tuimarishe ujenzi wa miundo mbinu ya barabara, miundo mbinu ya afya na miundo mbinu ya elimu”

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu (Mb) Mhe. George Simbachawene alipokuwa anazungumza na wananchi wa kata ya Mangaliza katika ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo jimbo la Kibakwe Halmashauri ya Mpwapwa.

Previous articleBRELA YAIBUKA MSHINDI WA PILI MAONESHO YA SABASABA
Next articleFILAMU YA ROYAL TOUR YAENDELEA KULETA NEEMA , WATALII WAZIDI KUONGEZEKA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here