Na: Stella Kessy
KIKOSI cha Yanga kesho kinashuka dimbani dhidi ya JKU katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa katika Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku.
Kikosi hicho kikiwa chini ya kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amsema kuwa lengo la kujiweka sawa kwa ajili ya mwendelezo wa ligi pamoja wachezaji kuwa katika hali ya utimamu.
Katika mtanange huo kiingilio mzunguko ni buku tatu pekee, (3,000) na VIP 5,000.