Home SPORTS YANGA KUJIPIMA NGUVU DHIDI YA JKU

YANGA KUJIPIMA NGUVU DHIDI YA JKU

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Na: Stella Kessy

KIKOSI cha Yanga kesho kinashuka dimbani dhidi ya JKU katika  mchezo wa kirafiki  utakaochezwa katika  Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku.

Kikosi hicho kikiwa chini ya kocha  Mkuu,  Nasreddine Nabi amsema kuwa lengo la kujiweka sawa kwa ajili ya mwendelezo wa ligi pamoja wachezaji kuwa katika hali ya utimamu.

Katika mtanange huo kiingilio  mzunguko ni buku tatu pekee, (3,000) na VIP 5,000.