Home BUSINESS WASHIRIKI WA MKUTANO WA WIPO USWISI WATEMBELEA UBALOZI

WASHIRIKI WA MKUTANO WA WIPO USWISI WATEMBELEA UBALOZI

Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa na Mashirika ya Kimataifa Geneva, Uswisi Mhe. Maimuna Kibenga Tarishi( katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania ulipotembelea tarehe 22 Julai, 2022 katika ofisi za Ubalozi Geneva, Uswisi. Ujumbe huo ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa(wa pili kutoka kulia), ulifika nchini humo kushiriki katika Mkutano Mkuu wa 63 wa Shirika la Miliki Ubunifu Duniani, uliofanyika tarehe  17-21 Julai, 2022.  Wajumbe wengine  kutoka kushoto ni 

Mkuu wa Idara ya Uraghbishi kutoka Tume ya Ushindani (FCC) Bi. Magdalena Utouh, Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Mali (BPRA) Zanzibar, Bi. Mariam Mliwa Jecha na Msajili Msaidizi Mkuu wa BRELA  Bi. Loy Mhando.

Previous articleMASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YACHOCHEA KUJITOLEA KUWA SULUHISHO YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA JAMII.
Next articleMUHAS YADAHILI WANAFUNZI ZAIDI YA ELFU 9 TANGU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA HILO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here