Mwandishi wetu
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeandaa bonanza kwa ajili ya vyombo vya Habari litakalofanyika tarehe 12 Desemba 2021.
Bonaza hilo ambalo litajulikana kwa jina la TFF Media Day likiwa na lengo la kukutanisha waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini na kujumuika pamoja katika kuumaliza mwaka.