
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na Viongozi wa Serikali, Watendaji kutoka Tasisi mbali mbali na wananchi waliofika katika hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR )
Tarehe 01.12.2025





