Home LOCAL MKURUGENZI MAWASILIANO YA RAIS IKULU AKUTANA NA WAHARIRI.

MKURUGENZI MAWASILIANO YA RAIS IKULU AKUTANA NA WAHARIRI.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw. Bakari Machumu akizungumza na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujitambulisha na kupokea maoni yao kwa ajili ya kuboresha masuala mbalimbali ya Mawasiliano baina ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu na Vyombo vya Habari, tarehe 26 Novemba, 2025.

Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari wakizungumza katika Kikao cha pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw. Bakari Machumu, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Novemba, 2025.

,Bw. Bakari Machumu akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Novemba, 2025.