Home LOCAL MHE.SAMIA APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS DRC MHE.FELIX ANTOINE TSHISEKEDI.

MHE.SAMIA APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS DRC MHE.FELIX ANTOINE TSHISEKEDI.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa nchi hiyo, Mhe. Floribert Anzuluni, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 24 Oktoba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa Nchi hiyo, Mhe. Floribert Anzuluni, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 24 Oktoba, 2025.

http://MHE.SAMIA APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS DRC MHE.FELIX ANTOINE TSHISEKEDI.