Home LOCAL DKT.SAMIA AWASILI JIJINI MWANZA KUFUNGA KAMPENI KESHO.

DKT.SAMIA AWASILI JIJINI MWANZA KUFUNGA KAMPENI KESHO.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Samia Suluhu Hassan amewasili jijini Mwanza leo Oktoba 27,2025 kwa ajili ya kufunga mikutano ya kampeni ya chama hicho hapo kesho Oktoba 28,2025 ndani ya jiji la Mwanza.

Dkt.Samia amepokewa na Mgombea mwenza wa Urais wa chama hicho Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Stephen Wasira,Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt.Asha-Rose Migiro pamoja na viongozi Waandamizi wa chama mkoa wa Mwanza.

http://DKT.SAMIA AWASILI JIJINI MWANZA KUFUNGA KAMPENI KESHO.