Picha mbalimbali za tukio la Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano wake mdogo wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Bukulu,jimbo la Kondoa Vijijini leo Oktoba 17,2025 mkoani Dodoma.
Dk Nchimbi anaendelea kusaka kura za ushindi wa kishindo za Mgombea urais wa chama hicho, Dkt.Samia Suluhu Hassan,Wabunge na Madiwani mkoani Dodoma,akiwa amefikia mkoa wake wa 24 mpaka sasa.