Home LOCAL DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MLOWO NA KUWAOMBA KURA

DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MLOWO NA KUWAOMBA KURA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mlowo Mkoani Songwe wakati akielekea Mbalizi mkoani Mbeya katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho tarehe 04 Septemba, 2025.

 http://DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MLOWO NA KUWAOMBA KURA