Home LOCAL MSAMA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

MSAMA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama leo July 01, 2025 amefika katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam na kurejesha Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga baada ya kuijaza kikamilifu.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Fomu hiyo imepokelewa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala, Chief Sylvester Yaredi.