Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AKIZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA GAZETI LA JAMHURI.

MAKAMU WA RAIS AKIZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA GAZETI LA JAMHURI.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kuhusu habari za uchunguzi kutoka kwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la JAMHURI ambaye pia ni Mkurugenzi Mwenza wa JAMHURI Media Ltd., Bw. Deodatus Balile wakati akikagua mabanda ya maonesho katika Mkutano wa Mabaraza Huru ya Habari Afrika unaofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC).Tarehe 15 Julai