Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan alipoweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Kiwanda Cha kuchakata Pamba Cha Shree Rajendra Agro industries Ltd Wilaya ya Maswa wakati wa Ziara ya kikazi katika Mkoa wa Simiyu leo Juni 18,2025.





