Home LOCAL WANANCHI WA MKOA WA KILIMANJARO WAWASILI KUSHIRIKI IBADA MAZISHI YA HAYATI MZEE...

WANANCHI WA MKOA WA KILIMANJARO WAWASILI KUSHIRIKI IBADA MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro na mikoa ya jirani, pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali wakiwasili katika Kanisa la KKKT Kristo Mchungaji Mwema; Dayosisi ya Mwanga, Jimbo la Kaskazini, Usharika wa Usangi Kivindu, mkoani Kilimanjaro, leo Mei 13, 2025, kushiriki ibada maalumu ya mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya.

http://WANANCHI WA MKOA WA KILIMANJARO WAWASILI KUSHIRIKI IBADA MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA.