Home LOCAL RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO MAALUMU YA HESHIMA NA BUNGE LA TANZANIA

RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO MAALUMU YA HESHIMA NA BUNGE LA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalumu ya Heshima kutoka kwa Bunge la Tanzania ikikabidhiwa na Spika wa Bunge hilo Dkt, Tulia Ackson ikiwa ni Tuzo ya kuthamini kazi Kubwa na Nzuri aliyofanya katika kuleta Maendeleo Nchini.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Hafla ya kukabidhi Tuzo hiyo imefanyika Viwanja vya Bunge la Tanzania Mkoani Dodoma leo Mei 31,2025.