Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AKIWASILI UWANJA WA NDEGE KIMATAIFA WA KILIMANJARO KUSHIRIKI MAZISHI...

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI UWANJA WA NDEGE KIMATAIFA WA KILIMANJARO KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA. 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) leo tarehe 12 Mei 2025 kwaajili ya kushiriki Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu hayati. Cleopa David Msuya yatakayofanyika tarehe 13 Mei 2025 Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro.

 http://MAKAMU WA RAIS AKIWASILI UWANJA WA NDEGE KIMATAIFA WA KILIMANJARO KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA.