Home INTERNATIONAL HAKUNA KITU KITAKACHOMPATA IBRAHIM TRAORÈ_RAIS  WA URUSI VLADIMIR PUTIN 

HAKUNA KITU KITAKACHOMPATA IBRAHIM TRAORÈ_RAIS  WA URUSI VLADIMIR PUTIN 

http://HAKUNA KITU KITAKACHOMPATA IBRAHIM TRAORÈ_RAIS  WA URUSI VLADIMIR PUTIN

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika.” __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

“Nataka kufanya mambo kuwa wazi kabisa. Rais Ibrahim Traoré alinifata baada ya yeye mwenyewe kutathmini na kuchagua njia ya hatima kwa nchi yake.
Mimi nilijiunga naye tu kama mshirika wa kibiashara na rafiki ili kumsaidia kutimiza ndoto zake.

Urusi haimnyonyi wala kuiba chochote kutoka Burkina Faso, yote ni Biashara ya Haki. Biashara kati ya Urusi na Burkina Faso ni rahisi: tunasubiri nchini kwetu, na Burkina Faso wanachimba madini yao, kuyachakata na kuyaagiza kwetu kwa masharti yao wenyewe.

Kama tungekuwa tunawanyonya, tungekuwa na shughuli za uchimbaji za Warusi kule Burkina Faso, lakini hatuna kwa sababu Urusi inaamini katika Biashara ya Haki.
Nina kila kitu kinachohitajika kusambaza ushawishi wangu kote duniani kama Superpower, lakini Urusi haijawahi kutumia mabavu dhidi ya yeyote.” Rais wa Urusi, Putin