Home INTERNATIONAL DKT NCHEMBA ASHAURI NCHI ZILIZOENDELEA KURAHISISHA UPATIKANAJI WA MIKOPO.

DKT NCHEMBA ASHAURI NCHI ZILIZOENDELEA KURAHISISHA UPATIKANAJI WA MIKOPO.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza katika Jukwaa la Ufadhili wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2025 (ECOSOC Forum on Financing for Development Follow-Up (FfD Forum), lililowahusisha mawaziri wa Fedha, Mipango, Mambo ya Nje na sekta nyingine pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo yakiwemo mashirika ya Fedha ya Kimataifa kwa ajili ya kufanya tathmini ya utekelezaji wa Maazimio ya Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo, lililofanyika Makao Makuu ya Umoja huo, Jijini New York, nchini Marekani.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (Kulia) akipigwa picha (Selfie) ya kumbukumbu na Mshauri wa Masuala ya Uchumi na Kijamii wa Serikali ya Marekani, Bi. Mariya Ilyas, wakati wa Jukwaa la Ufadhili wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2025 (ECOSOC Forum on Financing for Development Follow-Up (FfD Forum), lililowahusisha mawaziri wa Fedha, Mipango, Mambo ya Nje na sekta nyingine pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo yakiwemo mashirika ya Fedha ya Kimataifa kwa ajili ya kufanya tathmini ya utekelezaji wa Maazimio ya Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo, lililofanyika Makao Makuu ya Umoja huo, Jijini New York, nchini Marekani.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, New York, Marekani)