Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga wakipongezwa na Wabunge mbalimbali mara baada ya Bunge kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka 2025/2026. #IMEPITA #BAJETI2025/2026
http://BUNGE LAPITISHA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI WIZARA YA NISHATI 2025-2026