Home LOCAL RAIS ALHAJJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU...

RAIS ALHAJJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SALA YA EID AL FITRY MASJID JAMIU ZINJIBAR MAZIZINI JIJINI ZANZIBAR

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali,Viongozi wa Dini na Wananchi, wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Al Fitry, ikisomwa na Sheikh Khamis Gharib Khamis, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar iliyofanyika leo 31-3-2025 na (Kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaab na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt. Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman.(Picha na Ikulu)

   VIONGOZI wa Dini na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Al Fitry ikisomwa na Sheikh Khamis Gharib Khamis, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar leo 31-3-2025. baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Mabalozi Wadogo wanaofanyika Kazi zao Zanzibar na Viongozi wa Dini wakifuatilia Hutuba ya Eid Al Fitry, ilisomwa na Sheikh Khamis Gharib Khamis (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu) 

BAADHI ya Mawaziri na Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Eid Al Fitry, ilisomwa na Sheikh Khamis Gharib Khamis (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Mabalozi Wadogo wanaofanyika Kazi zao Zanzibar na Viongozi wa Dini wakijumuika katika kuitikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Fitry, iliyofanyika katika  Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Fitry, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar leo 31-3-2025 baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaab  na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt. Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Viongozi wa Dini wakijumuika katika kuitikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Fitry, iliyofanyika katika  Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kaab, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na na kuagana na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi , baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mtoto Samir Idrissa, katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar,baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Fitry iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu)