Home LOCAL DKT.NCHIMBI ASHIRIKI KIKAO CHA UTEKELEZAJI BARAZA KUU UMOJA WA WAZAZI.

DKT.NCHIMBI ASHIRIKI KIKAO CHA UTEKELEZAJI BARAZA KUU UMOJA WA WAZAZI.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza kwenye Kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi, Jumuiya ya CCM, ambacho alialikwa na kushiriki akiwa mgeni maalum, leo Jumamosi tarehe 8 Februari 2025, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.