Home LOCAL TEF YAMPONGEZA TUNDU LISSU KUCHAGULIWA KUIONGOZA CHADEMA

TEF YAMPONGEZA TUNDU LISSU KUCHAGULIWA KUIONGOZA CHADEMA

Jukwaa la Wahariri Tanzania TEF limempongeza Mwenyezi mpya wa CHADEMA Tundu Lissu na Makamu wake John Heche, pamoja na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Mzee Said kwa kuchaguliwa kukiongoza chama hicho.

TEF inaamini viongozi waliochaguliwa watakuwa mstari wa mbele katika kulinda na kukuza uhuru wa vyombo vya habari nchini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here