Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Kimaendeleo ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Bw. Philip Knill, katika Ofsi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine, walijadili namna ya kuendeleza ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili katika sekta za kiuchumi na kijamii.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akiwa katika picha na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Kimaendeleo ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Bw. Philip Knill, katika Ofsi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine, walijadili namna ya kuendeleza ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili katika sekta za kiuchumi na kijamii.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba wa tatu kulia, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Kimaendeleo ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Bw. Philip Knill (wa tatu kushoto), Mkuu wa Ushirikiano wa Kimaendeleo katika Ubalozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Bi. Julia Kronberg (wa kwanza kushoto), Afisa Sera, Wizara ya Fedha Ujerumani, Bi. Miriam Golan, Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Melkizedeck Mbise (wa pili kulia) na Mchimi kutoka Idara ya Fedha za Nje. Wizara ya Fedha, Bi. Diana Mwakikuti (kulia), katika Ofsi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha, Dar es Salaam)