Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Baraza ya Mwera-Polisi – Kibonde Mzungu ikiwa ni katika shamra shamra za kuadhimisha kutimia miaka 61 ya Mapinduzi Mtukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964.
Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Tarehe 27.11.2024