Home LOCAL MHE- ALHAJJ HEMED AJUMUIKA KUMUOMBEA ALIYEKUWA MAKAMU WA PILI MSTAAFU MAREHEMU...

MHE- ALHAJJ HEMED AJUMUIKA KUMUOMBEA ALIYEKUWA MAKAMU WA PILI MSTAAFU MAREHEMU ABDALLA ALI ABDALLA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Dini, Wanafamilia, Ndugu Jamaa na Marafiki katika Swala na Dua ya kumuombea aliyekuwa Katibu wa Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu Marehemu Abdalla Ali Abdalla ( KITOLE ) iliyofanyika katika Masjid NNABAWY Mombasa na kuzikwa Kijijini kwao Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

Inna lilah wainna ilayhi rajiun.

http://MHE- ALHAJJ HEMED AJUMUIKA KUMUOMBEA ALIYEKUWA MAKAMU WA PILI MSTAAFU MAREHEMU ABDALLA ALI ABDALLA

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here