Home LOCAL MAELFU YA WAKAZI WA ARUSHA WAFANYA MATEMBEZI KUOMBEA MKOA WA ARUSHA

MAELFU YA WAKAZI WA ARUSHA WAFANYA MATEMBEZI KUOMBEA MKOA WA ARUSHA

Happy Lazaro,Arusha .

Arusha .Maelfu ya wakazi wa Mkoa wa Arusha wamefanya matembezi maalumu ya kuuombea Mkoa wa Arusha na kuiombea nchi ya Tanzania leo ikiwa ni mpango wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda kwa kushirikiana na Viongozi wa dini wa Mkoa huo.

Matembezi hayo yaliyoambatana na Maombi yamefanyila leo, ikiwa ni Maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara Desemba 09, 2024

Baada matembezi , Maombi Maalum yamefanyika kwenye mnara wa saa (Clock Tower) ambapo ni kitovu cha bara la Afrika kutoka Kairo Misri mpaka Afrika ya Kusini.

Kauli Mbiu “Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara; Uongozi Madhubuti na Ushirikishwaji Wananchi ni Msingi wa Maendeleo yatu”

Previous articleBANDARI DAR YAPOKEA MELI KUBWA KUTOKA CHINA
Next articleRC SENYAMULE APOKEA BENDERA YA TAIFA KUTOKA MKOA WA KIGOMA MIAKA 63 YA UHURU WA TANZANIA BARA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here