Home INTERNATIONAL DKT.PHILIP AWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA CATUMBELA AKIMWAKILISHA MHE.SAMIA

DKT.PHILIP AWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA CATUMBELA AKIMWAKILISHA MHE.SAMIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola Mhe. Balozi Téte António wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Catumbela nchini Angola leo tarehe 04 Desemba 2024. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Marekani, Kongo na Zambia kuhusu Ushoroba wa Lobito (Lobito Corridor), ambapo Tanzania ni mgeni mwalikwa katika Mkutano huo unaofanyika katika mji wa Lobito nchini Angola tarehe 04 Desemba 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Catumbela nchini Angola leo tarehe 04 Desemba 2024. ​Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Marekani, Kongo na Zambia kuhusu Ushoroba wa Lobito (Lobito Corridor), ambapo Tanzania ni mgeni mwalikwa katika Mkutano huo unaofanyika katika mji wa Lobito nchini Angola tarehe 04 Desemba 2024.http://DKT.PHILIP AWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA CATUMBELA AKIMWAKILISHA MHE.SAMIA

Previous articleJAJI WARIOBA AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA HABARI JIJINI DAR
Next articleTANZANIA YAENDELEA KUFANYA MASHAURIANO SERIKALINI KUSHIRIKI UENDELEZAJI ,USHOROBA WA LOBITO_DKT PHILIP

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here