Home ENTERTAINMENTS TESA WA HUBA KUZIKWA JUMATATU KATIKA MAKABURI YA KINONDONI 

TESA WA HUBA KUZIKWA JUMATATU KATIKA MAKABURI YA KINONDONI 

Mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu Nchini Grace Mapunda maarufu kama ‘TESA WA HUBA’ unarajiwa KUZIKWA siku ya jumatatu Novemba 4 2024 Katika makabiri ya Kinondoni jijini Dar-es-Salaam.
Akitoa ratiba bosi Aziz amesema kuwa msiba upo nyumbani kwake Sinza Vatican na Leo Jumapili Novemba 3,2024, itafanyika IBADA MAALUM Ya kumuombea marehemu hapo hapo  nyumbani kwake na siku ya Jumatatu Novemba 04, 2024 kuanzia saa tatu asubuhi mwili utaagwa kwenye viwanja vya Leaders na baadae mwili utapelekwa kwenye makaburi ya Kinondoni kwa ajili ya safari ya mwisho (kuzika)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here