Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI KUFUATIA KUPOROMOKA KWA GHOROFA KARIAKOO

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI KUFUATIA KUPOROMOKA KWA GHOROFA KARIAKOO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa salamu za pole kwa waathirika wa ajali ya kudondokewa na gorofa Kariakoo Jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Samia ametoa salamu hizo tarehe 17 Novemba, 2024, Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil ambapo yupo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20 unaotarajiwa kuanza kesho tarehe 18 Novemba, 2024.
Previous articleSERIKALI YASISITIZA HAKUNA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU MGODI WA NORTH MARA HAKUNA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU MGODI WA NORTH MARA
Next articleMSD YAKABIDHI DAWA NA VIFAA TIBA VYA DHARURA KUSAIDIA WAATHIRIKA KARIAKOO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here